Tuesday, 30 August 2016

Ziara ya Mh. Mbunge katika kupandisha Hadhi barabara

Picha 1

Picha 2
Mh. Mbunge Albert Obama (Watatu kutokea kulia mwa picha 2) alifanya ziara hiyo  mnamo tareha 05/08/2016 kwa lengo la lupandisha hadhi barabara.
Miongoni mwa hizo barabara zilizopandishwa hadhi nikama zilivyo ainishwa hapo chini
  •  barabara ya Munanila - Mubanga hadi Janda
  • barabara ya Muyama - kilelema
  • barabara ya Bulimanyi - Nyamugali  pamoja na
  • Barabara ya BUHIGWE -  Muyama - Migongo- Heru-ushingo