Siku ya pili
ya ziara ilikuwa nikwenda kuzindua benki ya
matofali katika kijiji cha Kibwigwa. Benki hiyo ilikuwa na jumla ya
matofali 150,000 . Matofali hayo
yatatumika katika kujenga baadhi ya matundu ya vyoo.
|
Moja ya Matanuri yapo tayari kwaajili ya kuchomwa |
|
Mkuu wa Mkoa akizindua Uchomaji wa Benki hiyo ya Matofali katika kijiji cha Kibwigwa |
Pia Mkuu
wa Mkoa alizindua rasmi Nyumba kumi za kiusalama kwa lengo la kuboresha usalama
wa Wilaya na Mkoa kiujumla katika mipaka yote inayozunguka. Nyumba kumi hizo
zilizo zinduliwa katika kata ya Munanila.
|
Mmoja wa kaya Lengwa akiwa ametembelewa na Mhe. Mkuu wa Mkoa |
|
Mmoja wa Wajumbe wa Nyumba 10 za kiusalama B. Diseli Chupa (Wakwanza Kulia) |
0 comments:
Post a Comment