Thursday, 1 September 2016

Filled Under:

Ziara ya Mkurugenzi Mtendaji (W) Katika Mradi wa Tasaf-3

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya wilaya Buhigwe alifanya ziara katika Mradi wa Tasaf 3 ili kukutana na wanufaika wa Mradi huo.
Ziara ilifanya katika Vijiji viwili na kukutana Anakwana wa Wanufaika wakuu wa Mradi huo.

Baada ya kuwasili katika Kijiji cha kwanza katika ziara hiyo (Nyankorongo). Mratibu wa Tasaf alitambulisha Meza Kuu.
Pichani :( Kutokea Kulia mwa picha)

       Nd. Bakena Elisha-Mhasibu Mkuu- Buhigwe (DT)
       Nd. Abdallah Hamadi - Msimamizi wa Mradi (TA)
       Nd. Mduma  - Afisa Mipango

Pichani Kushoto
Aliyesimama: Mratibu wa Tasaf 3 Buhigwe - Nd. Chumbwa
pamoja Mtendaji wa Kijiji cha Nyankorongo
Mkurugenzi Mtendaji Buhigwe - Nd. Anosta L. Nyamoga

Mratibu wa Tasaf 3 akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshuri Buhigwe


Mkurugenzi akionge na wanufaika wa Mradi wa Tasaf 3.

Wanufaika wa Mradi wa Tasaf 3 katika Kijiji cha Cha Nyankorongo - Wilaya Ya Buhigwe


Picha ya Pamoja miongoni wa Wanufaika na Timu ya Tasaf pamoja na Mkurugenzi (Bwa. Anosta L. Nyamoga)


Wazee wa Wanaonufaika na Mradi wa Tasaf 3


0 comments:

Post a Comment