Thursday, 8 September 2016

Filled Under:

SIKU YA PILI YA ZIARA YA MKUU WA MKOA



Siku ya pili ya ziara ilikuwa nikwenda kuzindua benki ya  matofali katika kijiji cha Kibwigwa. Benki hiyo ilikuwa na jumla ya matofali  150,000 . Matofali hayo yatatumika katika kujenga baadhi ya matundu ya vyoo.
 
Moja ya Matanuri yapo tayari kwaajili ya kuchomwa


Mkuu wa Mkoa akizindua Uchomaji wa Benki hiyo  ya Matofali katika kijiji cha Kibwigwa



Pia Mkuu wa Mkoa alizindua rasmi Nyumba kumi za kiusalama kwa lengo la kuboresha usalama wa Wilaya na Mkoa kiujumla katika mipaka yote inayozunguka. Nyumba kumi hizo zilizo zinduliwa katika kata ya Munanila.


Mmoja wa kaya Lengwa akiwa ametembelewa na Mhe. Mkuu wa Mkoa

Mmoja wa Wajumbe wa Nyumba  10 za kiusalama B. Diseli Chupa (Wakwanza Kulia)

0 comments:

Post a Comment